Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




2 Wafalme 14:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Alipoanza kutawala alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mitano, naye akatawala akiwa Yerusalema kwa muda wa miaka makumi mbili na tisa. Mama yake aliitwa Yoadani wa Yerusalema.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




2 Wafalme 14:2
3 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Katika mwaka wa pili wa utawala wa Yoasi mwana wa Yoahazi katika inchi ya Israeli, Amazia mwana wa Yoasi mufalme wa Yuda akaanza kutawala.


Alitenda kwa usawa mbele ya Yawe, lakini hakukuwa kama babu yake Daudi. Akafanya mambo yote kama vile baba yake Yoasi.


Amazia alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mitano alipoanza kutawala, akatawala kwa muda wa miaka makumi mbili na mitano katika Yerusalema. Mama yake aliitwa Yoadani wa Yerusalema.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ