2 Samweli 9:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Daudi akamwambia: “Usiogope. Mimi nitakutendea mema kwa ajili ya baba yako Yonatani. Nitakurudishia yale mashamba yote yaliyokuwa ya babu yako Saulo. Nawe, utakula kwenye meza yangu siku zote.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |