2 Samweli 5:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200220 Basi, Daudi akafika Bali-Perasimu na kuwashinda Wafilistini. Halafu akasema: “Yawe amepita katikati ya waadui zangu kama mafuriko ya maji yanayoenda mbio.” Kwa hiyo pahali pale pakaitwa “Bwana Anayepita Katikati”. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |