2 Samweli 5:19 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200219 Basi, Daudi alimwuliza Yawe shauri: “Niende kuwashambulia Wafilistini? Utawatia katika mikono yangu?” Naye Yawe akamwambia Daudi: “Kwenda, maana hakika nitawatia Wafilistini katika mikono yako.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |