16 Elisama, Eliada na Elifeleti.
Ibuhari, Elisua, Nefegi, Yafia,
Wafilistini waliposikia kwamba Daudi amepakwa mafuta kuwa mufalme wa Waisraeli, wote walitoka kwenda kumutafuta, lakini yeye alipata habari, akaingia ndani ya makimbilio.
Elisama, Beliada na Elifeleti.
Elisama, Eliada na Elifeleti.