2 Samweli 3:37 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200237 Kwa hiyo, siku ile, Waisraeli wote walielewa kwamba haikukuwa nia ya mufalme Daudi kumwua Abeneri mwana wa Neri. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Mungu atamwazibu Yoabu kwa mauaji hayo aliyoyafanya bila baba yangu kuwa na habari. Yeye aliwaua watu wawili ambao walikuwa wa maana zaidi kuliko yeye, tena walimupita kwa wema; aliwaua Abeneri mwana wa Neri, jemadari wa kundi la waaskari Waisraeli, na Amasa mwana wa Yeteri, jemadari wa waaskari wa Yuda.