2 Samweli 3:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Yoabu aliporudi akiwa na waaskari wake wote aliokuwa nao, aliambiwa kwamba Abeneri mwana wa Neri, alikuwa amekuja kumwona mufalme Daudi, naye amemwaga aende zake, naye ameondoka kwa amani. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |