2 Samweli 3:22 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200222 Kisha, Yoabu pamoja na watu wa Daudi walirudi kutoka kwenye mashambulio, wakaleta vitu vingi. Lakini Abeneri hakukuwa pamoja na Daudi kule Hebroni maana Daudi alikuwa amemwaga aende zake, naye akaondoka kwa amani. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |