2 Samweli 24:22 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200222 Naye Arauna akamwambia Daudi: “Bwana wangu mufalme, utwae chochote unachoona kinafaa na utolee sadaka. Mimi ninawatoa ngombe dume hawa kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa na vifaa hivi vya kupepetea na nira za ngombe kuwa kuni. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |