2 Samweli 24:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Daudi alipomwona yule malaika aliyekuwa anawaua watu, alimwambia, Yawe: “Mimi ndiye ninayekuwa na kosa! Mimi mwenyewe nimekosa! Hawa watu wapole hawakufanya uovu. Ninakusihi sana uniazibu mimi na jamaa ya baba yangu.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |