2 Samweli 23:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Halafu aliyefuata kati ya wale mashujaa watatu alikuwa Eleazari mwana wa Dodayi, wa ukoo wa Muahoa. Siku moja, Eleazari alikuwa pamoja na Daudi walipowatukana Wafilistini waliokuwa wamekusanyika kwa kupigana vita. Waisraeli waliwakimbia Wafilistini. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |