2 Samweli 23:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 akisema: “Sina haki hata kidogo ya kunywa maji haya, ee Yawe. Maji haya si ni kama damu ya wale walioyahatarisha maisha yao kwa kuyaleta?” Kwa hiyo, Daudi hakuyakunywa maji hayo. Hayo ndiyo mambo waliyotenda wale mashujaa watatu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |