2 Samweli 21:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Kisha, Risipa binti ya Aya alitwaa nguo ya gunia, akajitandikia juu ya jiwe kubwa. Alikaa pale tangu mwanzo wa mavuno mpaka wakati wa mvua ulipofika na kuinyeshea maiti. Wakati huo wote, aliwafukuza ndege na wanyama wa pori, usiku na muchana, kusudi wasifikie maiti hizo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |