2 Samweli 2:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200232 Yoabu na watu wake walipeleka mwili wa Asaeli, wakauzika kwenye kaburi la baba yake, linalokuwa kule Betelehemu. Yoabu na watu wake walitembea usiku kucha, na kulipokucha wakafika katika muji wa Hebroni. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |