2 Samweli 18:22 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200222 Kisha Ahimasi mwana wa Zadoki akamwambia Yoabu tena: “Si kitu; uniruhusu na mimi nimukimbilie yule Mwetiopia!” Yoabu akamwambia: “Mbona unataka kukimbia mwana wangu? Wewe hautapata zawadi yoyote kwa habari hizi!” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |