2 Samweli 17:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Nasi tutamwendea Daudi pahali popote anapoweza kupatikana na tutamwangukia sawa vile umande unavyoanguka juu ya udongo. Basi, hakuna atakayebakia hata kama ni yeye mwenyewe au watu wake wote wanaokuwa pamoja naye. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |