2 Samweli 16:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Yawe amekulipiza kisasi kutokana na kumwanga damu ya watu wote wa jamaa ya Saulo, ambaye sasa wewe umenyanganya ufalme kwa pahali pake. Sasa, Yawe amemupa mwana wako Abusaloma ufalme. Maangamizi yamekupata kwa sababu wewe ni mwuaji.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |