2 Samweli 16:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200221 Ahitofeli akamwambia Abusaloma: “Ulale na wale wahabara za baba yako ambao aliwaacha kuangalia nyumba yake. Kisha watu wote wa Israeli watakaposikia kwamba umechukizwa na baba yako, hapo watu wote wanaokuwa pamoja nawe watapata nguvu.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Nyuma, Daudi alifika katika nyumba yake kule Yerusalema. Mufalme aliwatwaa wahabara wake kumi ambao alikuwa amewaacha kwa kuangalia nyumba yake, akawaweka kwenye nyumba moja wapate kulindwa, akawatunza vizuri, lakini hakulala nao. Kwa hiyo wahabara hao wakakuwa wakifungwa mpaka siku za kufa kwao, wakaishi kama vile walikuwa wajane.