2 Samweli 13:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200232 Lakini Yonadabu mwana wa Simea, ndugu ya Daudi akamwambia: “Bwana wangu, usifikiri kwamba wana wako wote wameuawa. Amunoni pekee ndiye aliyeuawa. Abusaloma alikusudia kuyafanya mambo haya tangu wakati ule Amunoni alipomukamata dada yake Tamari kwa kinguvu na kulala naye. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |