2 Samweli 13:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Kisha, Amunoni akamwambia Tamari: “Sasa uniletee mikate ile ndani ya chumba changu, halafu unikulishe.” Tamari alitwaa mikate aliyoitayarisha na kuipeleka ndani ya chumba cha kaka yake Amunoni. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |