2 Samweli 12:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200220 Kisha, Daudi akasimama, akaoga, akajipakaa mafuta na kubadilisha nguo zake. Halafu akaenda katika nyumba ya Yawe na kuabudu. Kisha akarudi kwake, akaamuru wamuletee chakula, naye akakula. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |