25 Jinsi gani mashujaa walivyoanguka katika vita. Yonatani analala, akiwa ameuawa kwenye milima.
Ewe Israeli, utukufu wako umeuawa, juu ya milima yako. Angalia jinsi mashujaa walivyoanguka!
Wanawake wa Israeli, mumulilie Saulo, aliyewavalisha nguo nyekundu za utukufu, aliyepamba nguo zenu kwa zahabu.
Jinsi gani mashujaa walivyoanguka, na silaha za vita zimeangamia.
Taji tuliojivunia imeanguka. Ole kwetu maana tumetenda zambi!
Watu wa Zebuluni ni watu waliohatarisha maisha yao katika kifo. Hata wa Nafutali walisogelea kifo kwenye miinuko ya mashamba.