2 Mambo ya Siku 7:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Waisraeli wote walipoona moto ukishuka kutoka mbinguni na utukufu wa Yawe katika nyumba, wakainama nyuso zao zikifika mpaka chini. Wakamwabudu na kumushukuru Yawe wakisema: “Yeye ni muzuri. Wema wake unadumu milele.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |