1 Yoane 5:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Yule anayemwamini Mwana wa Mungu yuko na ushuhuda huu ndani yake. Lakini yule asiyemwamini Mungu, amemufanya Mungu kuwa mwongo, maana hakuaminia ushuhuda Mungu aliotoa juu ya Mwana wake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |