1 Yoane 4:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Hivi upendo umekamilishwa ndani yetu, kusudi tupate kuwa na tumaini kwa Siku ile ya hukumu. Kwa sababu maisha yetu katika dunia hii yanafanana na maisha ya Yesu Kristo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |