1 Wakorinto 5:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Kwa hiyo tufanye karamu yetu ya Pasaka pasipo kutumia mikate iliyotiwa chachu; ni kusema pasipo zambi na uovu. Lakini tutumie mikate isiyotiwa chachu; ni kusema katika usafi na ukweli. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |