1 Wafalme 9:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200225 Mara tatu kila mwaka, Solomono alitoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani juu ya mazabahu aliyokuwa amemujengea Yawe, akamufukizia Yawe ubani. Akafanya vile ilivyofaa kwa nyumba ya Yawe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |