1 Wafalme 7:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Solomono alijenga uwanja wa kiti cha kifalme ambamo aliamulia maneno ya watu. Huu uliitwa vilevile Uwanja wa Hukumu. Ulipambwa kwa mbao za mierezi kutoka sakafu mpaka dari. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |