Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




1 Wafalme 7:30 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

30 Kila gari lilikuwa na magurudumu mane ya shaba, na vyuma vya katikati vya kuyashika magurudumu hayo, vilikuwa vya shaba. Kwenye pembe ine za gari kulikuwa vikingio vya shaba kwa ajili ya birika kubwa. Karibu ya kila kikingio kuliwekwa mapambo ya maua ya kusokotwa.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




1 Wafalme 7:30
7 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

kulikuwa sanamu za simba, ngombe dume na makerubi. Sanamu hizo za simba na ngombe dume, zilikuwa zimefunikwa na kutandikwa juu ya mapambo yaliyosokotwa vizuri.


Mulango wa gari ulikuwa katika sehemu iliyotokeza juu kwa kipimo cha nusu metre. Kwa inje, mulango ulikuwa umetiwa michoro; na vibandiko vyake vilikuwa vya muraba, si ya muviringo.


Chini ya kila gari kulikuwa vikingio vine kwenye pembe zake, navyo vilifungamana na gari.


Niliangalia, nikaona kulikuwa magurudumu mane, gurudumu moja pembeni ya kila kerubi. Magurudumu hayo yalimetameta kama jiwe la zabarajadi.


Vilevile nilisikia sauti ya mabawa ya vile viumbe yalipokuwa yanagusana, pamoja na sauti ya shindo la yale magurudumu kandokando yao.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ