34 Basi, Benaya mwana wa Yehoyada akaenda katika hema, akamwua Yoabu ambaye alizikwa katika shamba lake, katika mbuga.
Halafu mufalme Solomono akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada; naye akamwendea Adonia, akamwua.
Solomono akasema: “Fanya sawa alivyosema. Umwue na kumuzika. Hivyo, mimi na wazao wengine wote wa Daudi hatutabeba lazima ya vitendo vya Yoabu vya kuwaua watu wasiokuwa na kosa.
Hapo, mufalme akamwamuru Benaya mwana wa Yehoyada, naye akatoka, akamupiga na kumwua Simei. Basi, ufalme ukaimarika chini ya Solomono.
Manase akakufa na kuzikwa katika bustani ya nyumba yake mwenyewe, katika Bustani ya Uza. Naye mwana wake Amoni akatawala kwa pahali pake.
Manase alikufa na kuzikwa katika nyumba yake ya kifalme, naye Amoni, mwana wake, akatawala pahali pake.
Katika siku zile Yoane Mubatizaji alitokea akihubiri katika jangwa la Yudea
Wakamwambia: “Tumekuja kukufunga kusudi tukutie katika mikono yao.” Samusoni akawaambia: “Muniapie kwamba ninyi wenyewe hamutaniua.”