Akamwondoa tate yake Maka cheo chake cha mama malkia, kwa sababu alitengeneza sanamu ya Ashera na hiyo sanamu akaivunjavunja na kuiteketeza kwenye bonde la Kidroni.
Yosafati alikuwa na umri wa miaka makumi tatu na mitano alipoanza kutawala. Alitawala akiwa Yerusalema kwa muda wa miaka makumi mbili na mitano. Mama yake aliitwa Azuba binti ya Silihi.