1 Timoteo 2:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Ninataka vilevile wanawake wavae kwa namna inayostahili. Inafaa wajipambe kwa adabu na kwa ukadirifu, si kwa namna mbalimbali za urembo za kusuka nywele, wala kwa zahabu, wala kwa ushanga au nguo za bei kali. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |