1 Samweli 8:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Tangu nilipowatoa Misri, wameniacha mimi, wamekuwa wakiitumikia miungu mingine mpaka leo. Sasa hayo matendo ambayo wamekuwa wakinitendea mimi, ndiyo wanayokutendea na wewe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |