1 Samweli 7:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Wafilistini waliposikia kwamba Waisraeli wamekusanyika kule Misipa, wakubwa watano wa Wafilistini wakaenda kuwashambulia. Waisraeli waliposikia juu ya jambo lile waliwaogopa Wafilistini. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |