1 Samweli 7:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Samweli alipokuwa anatolea ile sadaka ya kuteketezwa, Wafilistini walikaribia kuwashambulia Waisraeli. Lakini Yawe akatoa sauti kubwa ya ngurumo juu ya Wafilistini, na kuwavuruga Wafilistini, nao wakashindwa mbele ya Waisraeli. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |