1 Samweli 6:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Hilo gari lilielekea kwenye shamba la Yoshua, mukaaji wa Beti-Semesi. Lilipofika hapo likasimama karibu na jiwe kubwa. Watu wakalibomoa lile gari, wakatumia mbao zake kwa kuwateketeza hao ngombe ambao waliwatoa kama sadaka ya kuteketezwa kwa Yawe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Walipeleka vilevile sanamu za zahabu za panya kulingana na hesabu ya miji yote ya Wafilistini iliyotawaliwa na wakubwa watano wa Wafilistini. Miji hiyo ilikuwa yenye kuzungukwa na kuta na vijiji ambavyo havikuzungushiwa kuta. Lile jiwe kubwa kwenye shamba la Yoshua wa Beti-Semesi, pahali ambapo walilipeleka Sanduku la Yawe, ni ushuhuda wa tukio hilo mpaka leo.