1 Samweli 30:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Daudi akawaambia: “Sivyo wandugu zangu. Hamuwezi kufanya vile kwa kile ambacho Yawe ametupatia. Alitulinda salama, na akalitia katika mikono yetu kundi lililokuja kutushambulia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |