1 Samweli 3:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Yawe akamwita Samweli kwa mara ya tatu. Samweli akaamuka, akamwendea Eli na kumwambia: “Nimekuja, maana umeniita.” Halafu Eli alitambua kwamba Yawe ndiye aliyemwita Samweli. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |