1 Samweli 3:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
5 Kisha Samweli akamwendea Eli kwa haraka, akamwambia: “Nimekuja, maana umeniita.” Lakini Eli akamwambia: “Mimi sikukuita. Kwenda ulale.” Samweli akarudi na kulala.
Yawe akamwita tena: “Samweli!” Samweli akaamuka, akamwendea Eli na kumwambia: “Nimekuja, maana umeniita.” Lakini Eli akamwambia: “Sikukuita mwana wangu, ulale tena.”