1 Samweli 28:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200215 Samweli akamwambia Saulo: “Kwa nini unanisumbua kwa kunipandisha?” Saulo akamujibu: “Mimi nina taabu kubwa! Wafilistini wananishambulia kwa vita, na Mungu ameniachilia. Hanijibu tena kwa njia ya manabii wala kwa ndoto. Ndiyo maana nimekuita unijulishe kitu cha kufanya.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |