1 Samweli 25:36 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200236 Abigaili aliporudi kwake, alimukuta Nabali akifanya karamu kubwa katika nyumba yake kama ya kifalme. Nabali alikuwa akifurahi sana ndani ya moyo maana alikuwa amelewa sana. Kwa hiyo hakumwambia neno lolote mpaka asubui. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |