1 Samweli 24:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Watu wa Daudi wakamwambia: “Ile siku Yawe aliyokuambia kwamba atakuja kumutia adui yako katika mikono yako nawe umutendee utakavyoona inafaa, leo imefika.” Halafu Daudi alimwendea Saulo polepole kutoka nyuma, akakata pindo la nguo yake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |