1 Samweli 24:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Angalia, baba yangu, angalia pindo hili la nguo yako katika mikono yangu. Kwa kulikata pindo la nguo yako bila kukuua, unaweza sasa kujua kwa hakika kwamba mimi si mwovu wala mwasi. Mimi sijatenda zambi juu yako ingawa wewe unaniwinda uniue. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |