1 Samweli 23:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Basi, Daudi akaenda Keila pamoja na watu wake, na kule akapigana na Wafilistini, akawaua Wafilistini wengi na kunyanganya ngombe wengi. Kwa hiyo Daudi aliwaokoa wakaaji wa Keila. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |