1 Samweli 23:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 Kisha, Daudi na watu wake ambao walikuwa yapata mia sita, waliondoka na kwenda popote walipoweza kwenda. Saulo aliposikia kwamba Daudi amekwisha kimbia kutoka Keila, akaiacha mipango yake yote. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |