1 Samweli 22:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Daudi akaondoka kule, akakimbilia kwenye pango karibu na muji wa Adulamu. Kaka zake na wandugu zake wengine waliposikia kwamba alikuwa pale, wote walikwenda kuungana naye. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |