1 Samweli 20:42 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200242 Halafu Yonatani akamwambia Daudi: “Uende na amani. Tumekwisha wote kuapa kwa jina la Yawe kwamba Yawe akuwe mushuhuda kati yetu milele, na kati ya wazao wangu na wazao wako milele.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |