38 Fanya haraka na usisimame tu pahali pale.” Yule kijana alikusanya mishale na kumwendea bwana wake.
Yule kijana alipofika pahali ambapo mushale uliangukia, Yonatani akamwambia: “Mushale uko mbele yako.
Lakini yule kijana hakujua kitu chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonatani na Daudi tu.