1 Samweli 20:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200234 Halafu Yonatani, akiwa amekasirika sana, aliondoka kwenye meza kwa haraka, wala hakukula chakula chochote siku hiyo ya pili ya sikukuu ya mwandamo mwezi. Yonatani alihuzunika sana juu ya Daudi kwa sababu baba yake alikuwa amemupatisha haya. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |