Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




1 Samweli 2:31 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

31 Angalia siku zinakuja ambapo nitawaua vijana wote wanaume katika jamaa yako na katika ukoo wako, hata hakutakuwa mwanaume yeyote atakayeishi na kuwa muzee.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




1 Samweli 2:31
11 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Mufalme akamuweka Benaya mwana wa Yehoyada kuwa jemadari wa kundi la waaskari kwa pahali pa Yoabu, na Zadoki akakuwa kuhani pahali pa Abiatari.


Umewaacha wajane waende mikono mitupu; umewaponda wayatima mikono yao.


Maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Yawe atawaimarisha watu wa haki.


Walawi walioniacha wakati ule Waisraeli walipojitenga nami kwa kufuata miungu yao, watabeba azabu yao.


Ahiya mwana wa Ahitubu ndugu yake na Ikabodi mwana wa Finehasi mujukuu wa Eli kuhani wa Yawe katika muji wa Shilo, alikuwa ndiye aliyevaa kizibao cha kuhani. Watu hawakujua kwamba Yonatani amekwisha ondoka.


Siku hiyo, nitatimiza yale yote niliyosema tangu mwanzo mpaka mwisho juu ya Eli na juu ya jamaa yake.


Wafilistini waliwashambulia Waisraeli, na nyuma ya mapigano makali, Waisraeli walishindwa. Waisraeli elfu ine waliuawa kwenye uwanja wa vita.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ